Seneta Wa Mtwiz JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 3,635 Reaction score 4,160 Oct 17, 2018 #1 Pikipiki Super cub ya Honda/YAMAHA Kama hii pichani kwa Dar es Salaam zinapatikana maeneo gani na ni bei gani? Inahitajika kwa ajili ya mizunguko ya kawaida na kubebea vitu vidogovidogo tu, Sio kwa safari ndefu. Naomba msaada wa taarifa wakuu.
Pikipiki Super cub ya Honda/YAMAHA Kama hii pichani kwa Dar es Salaam zinapatikana maeneo gani na ni bei gani? Inahitajika kwa ajili ya mizunguko ya kawaida na kubebea vitu vidogovidogo tu, Sio kwa safari ndefu. Naomba msaada wa taarifa wakuu.