Wajuzi wa tafsiri za ndoto tuonane hapa

Wajuzi wa tafsiri za ndoto tuonane hapa

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari ndugu zangu

Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili?

Asante.
 
ila choo kingekuwa kichafu, shughuli ungekuwa nayoo.. ila kwakua una kisafisha hapo baridaa kabisa
 
Back
Top Bottom