COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 681
- 618
Na pia Microsoft wanasitisha operating system zenye 32 bit kwa updates zijazo. Kutakuwa na 64 bit tu. Hata kwa PC zenye 32 bit uki update kwa latest software itakuwa 64.Sasa window 7 so inaweza kuwa na bit nyingi mkuu
Pc ya 32bit haiwezi kwenda 64bit ni hardware difference. Na kama ulikuwa na hardware ya 64bit na ukapiga windows ya 32bit ili upate windows ya 64bit ni hadi ufanye clean installation kwa ku format HDD, huwezi ipata kwa updates tu.Na pia Microsoft wanasitisha operating system zenye 32 bit kwa updates zijazo. Kutakuwa na 64 bit tu. Hata kwa PC zenye 32 bit uki update kwa latest software itakuwa 64.
Umeweka windows ipi?Wakuu nmeafnikiwa kupiga window pya
Niliweka 10 ikakataa nadhani PC ina bit 32 halafu hiyo os ikawa ina 64 bit nikaweka 7Umeweka windows ipi?
Ungeweka Windows 10 yenye 32 bitNiliweka 10 ikakataa nadhani PC ina bit 32 halafu hiyo os ikawa ina 64 bit nikaweka 7
asisahau kufuta ..old window....Kama umefanya backups ya data zako hapana mbaya au kama hauna haja nazo, kuna scenario mbili kubwa na windows kubwa za windows ku fail
Hardware, kama hdd inakaribia kufa au hata kama ukiweka windows upya hiyo kitu itajirudia ndani ya mda mfupi itarudia. Au wkt mwingine kama kuna hardware mpya imekuwa installed.
Software, kama shida ni hii fanya windows upya itakaa sawa.
Ina maana ile window huwa inabaki??asisahau kufuta ..old window....
anaweza piga window juu ya window ikaanza kuleta shida zaid