Wakabaji wanaoongea kiingereza

Wakabaji wanaoongea kiingereza

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Tatizo la ajira linaweza kuwa bomu kubwa zaidi ya vile tulivyodhani. Wasomi wengi wamegeuka wakabaji kwa kujua au kutokujua.

Watanzania wengi wanaibiwa kwa mijadala ya kiingereza. Imeibuka stail ya akina Mangungo, unaletewa makaratasi yameandikwa kizungu unatia sign kuonyesha Kama nawe umesoma kumbe umeliwa. WANASHERIA wetu wengi wanatuingiza chaka, wanatukaba kwa kalamu zao, wamekosa ueledi.
 
Hili neno kila ninapoliona huwa nacheka sana..

Naunga mkono juhudi
 
Duh mimi nilijua jamaa anakupiga ngeta huku anasema 'quiet,sit down,give me your money'!
 
Back
Top Bottom