DOKEZO Wakaguzi wa majengo msisahau kupita na UDOM

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Nisiseme mengi ila kwa mtu mwenye uelewa mdogo tu wa ujenzi na majengo atajua kuwa yale majengo wachina walifanya uhuni sana.ukizingatia ukanda wa dodoma matetemeko ya ardhi ni kama ndio nyumbani kwake

Kuna majengo sioni miaka 30 ijayo kama yatatoboa.labda haya wanaliyojenga sasa hivi kama majengo ya utawala CNMS na CoESE na Jengo la utawala mkuu naona walikuwa serious kidogo.
 
Yule mzee wa msoga kila mradi ulikuwa wa kichina, hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom