Wakaka ikikutokea hali hii utachukua uamuzi gani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
 
Binti wa Texas ndio adi awe ameelewa show maana huwezi force penzi ..kisa fulani kasema hivi na hivi kwa binti fulani

Kwa ulichokieleza mimi na mpenzi wangu tutaishi pamoja ..
Utamueleza nini Boss aliye kuahidi ajira?
 
Unajua kusema ukweli..ni rahisi mwanaume kubadilika kwa sababu za kimaisha.

Lkn ni ngumu sana mwanamke kubadilika hasa akiwa anakuelewa .

Kama ni mimi ningeakikisha mvua inanyesha weeee mpaka asubuh nikapanda kibajaji uyoooo ghafla namuona jamaa ananunua Kiepe nandege nayo iyoooo inapita angan. Nikajisemea Dunia inamambo sana mpaka mjusi anapiga kelele, kugeuka naona bonge la manzi linapita nikachukua zangu mfuko nikasepa!!!
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
Sky Eclat kwanza utambue ni wanawake wachache wenye moyo wa kusaidia wanaume, wapenzi wao wa kiume na kama wapo wengi wao mashoga mami lkn pia ni wanaume wachache wenye bahati kama hiyo, kwangu Mimi huo nimtihani mgumu siombi initokee
 
Unajua kusema ukweli..ni rahisi mwanaume kubadilika kwa sababu za kimaisha.

Lkn ni ngumu sana mwanamke kubadilika hasa akiwa anakuelewa .

Kama ni mimi ningeakikisha mvua inanyesha weeee mpaka asubuh nikapanda kibajaji uyoooo ghafla namuona jamaa ananunua Kiepe nandege nayo iyoooo inapita angan. Nikajisemea Dunia inamambo sana mpaka mjusi anapiga kelele, kugeuka naona bonge la manzi linapita nikachukua zangu mfuko nikasepa!!!
Yaani Wewe Ni hovyo kweli umeshindwa Kuleta hio pikipiki Wakati Simba inacheza na Jahazi
Ya tamashani Texas Leo?
 
Naamini hadi binti yako anafikia hapo atakuwa anamtu wake anampenda ni vyema ungepata nafasi ukaongea akueleze yeye anataka nini zaidi.
Ilivyo ni kuwa binti alishaambiwa anasoma lakini maisha yake ni kwenye kampuni ya baba yake. Huko Texas anekuwa heart broken na Black America na yeye yupo yupo tu
 
MTU una na vyeti yako,na bado yule demu amekusaidia ni wakishua,unajuaje kama atakusaidia pia ktk kupata kazi ingine?kama nimimi nitamwambia Boss ninaye wakumuoa,kama kazi IPO nipatie kama hakuna nakushukuru.
 
Hadithi hadithi? Hadithi njoo, uwongo njoo, utamu kolea, ...
 
Ilivyo ni kuwa binti alishaambiwa anasoma lakini maisha yake ni kwenye kampuni ya baba yake. Huko Texas anekuwa heart broken na Black America na yeye yupo yupo tu

Lazima hotel atakuwa amesha contact na some fucking boy wa tz so atakuwa anajua sehemu alipoanza wekeza mtaji wake
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
Ntalinda ahad na yule alienisaidia wakat sina kitu hapa tamas tupa kule nsmkstalia huyu mzee namwambia mkuu nina goma langu bwana mwanao rumet simtak
 
Nabaki na huyo wa kwanza maana kama si yeye nisingefika kwa huyo kibosile, kuishi kwa kumtegemea binadam ni mateso matupu.
 
Back
Top Bottom