Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Nilikuwa na mpenzi wangu yupo chuo 1st year.tatizo lilianza alipofika chuo baada ya wiki mmoja alianza kunipotezea na kunidanganya,ilikuwa nikimpigia simu usiku naikuta inatumika ninakuwa waiting lakini mwishoe napotezewa nikimpigia kesho yake asubuh anadai aliyekuwa anatumia simu ni rafiki yake,yeye alishalala au alkuwa anasoma nilikuwa naumia bt mwanaume najikaza.Mwaka jana nov 1 nikaanza kumtoa moyoni mwangu na kupunguz mawasiliano nikaona nae anitafuti.dec 9 nikampigia nikataka kujua kama chrstmas atarudi kwao akadai nauli kikwazo nikamtumia elfu hamsini ,kwa siku 3 akanichunia kumuhuliza akadai simu aikuwa na salio nikamrechrge then nikamfungukia nikamwambia kama mapenzi yake kwangu hayapo au amepata mtu mwingne aniweke wazi niliforce kwa siku tatu ndipo akaniambia"sorry ukweli sifeel chochote on u"nikajua game is over nikatuma message 2 za kuonyesh masiktiko yangu kwake nikamuaga.Tatizo tangu chrstmas amekuwa anatuma txt na anataka tuonane nimegoma.sitak kumjibu vibaya ananikera