hapo umenigusa shoga mana mpaka nazeeka peke yangu kwa kuogopa kuumizwa:focus:
kwenye miti hakuna wajenzi dah! achana nae huyo atakupotezea muda wako, hivi una umri gani kwani?:lol:
Huzayma.... Usiogope kupenda.... LOVE... Love is the most wonderful feeling... (mie naamini waweza ongeza siku za kuishi sababu tu kua you Love someone.....lol); My Motto... Nikimpenda Mtu nampena MAZIMA. Nikishindwana nae nasema YES I did my best but he was not for me.... B2T
Umeona eeeh? kama wewe ni She do the needful na uanze kumtoa majonzi babuu blessed hapa.
nimecheka kweli, lakini umeona enhh ? si ndo nimemuuliza umri wake mana wachanga siwawezi mie nataka walokomaa:eyebrows:
nimecheka kweli, lakini umeona enhh ? si ndo nimemuuliza umri wake mana wachanga siwawezi mie nataka walokomaa:eyebrows:
Akizidi kusumbua mwambie utamdai pesa yako Tshs 50,000.00 uliyomtumia.
babu piga chini faster awa wadudu wanazingua sana,askupotezee muda bwana maduu wa ukweli mbna wapo wapo wengi tena wa ukweli tu,tabu kidogo inakuaga pale mwanzoni unapoanza kumpotezea lakini baadae unajishitukia ushaamsaau kabisa yani.Nilikuwa na mpenzi wangu yupo chuo 1st year.tatizo lilianza alipofika chuo baada ya wiki mmoja alianza kunipotezea na kunidanganya,ilikuwa nikimpigia simu usiku naikuta inatumika ninakuwa waiting lakini mwishoe napotezewa nikimpigia kesho yake asubuh anadai aliyekuwa anatumia simu ni rafiki yake,yeye alishalala au alkuwa anasoma nilikuwa naumia bt mwanaume najikaza.Mwaka jana nov 1 nikaanza kumtoa moyoni mwangu na kupunguz mawasiliano nikaona nae anitafuti.dec 9 nikampigia nikataka kujua kama chrstmas atarudi kwao akadai nauli kikwazo nikamtumia elfu hamsini ,kwa siku 3 akanichunia kumuhuliza akadai simu aikuwa na salio nikamrechrge then nikamfungukia nikamwambia kama mapenzi yake kwangu hayapo au amepata mtu mwingne aniweke wazi niliforce kwa siku tatu ndipo akaniambia"sorry ukweli sifeel chochote on u"nikajua game is over nikatuma message 2 za kuonyesh masiktiko yangu kwake nikamuaga.Tatizo tangu chrstmas amekuwa anatuma txt na anataka tuonane nimegoma.sitak kumjibu vibaya ananikera