Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

mmmh,we nae wa5 wote bado unatest tu???
shauri zako unaharibu nanii bureee
 
anapenda wenye hela uyo wabeba mabox kwake mwiko
 

Pole dada, je umejaribu UK? huku wabongo tumetulia, tunakamata na kuhifadhi, hatufanyi usanii wala hatubebi mabox.
 
Mrdash Pole dada, je umejaribu UK? huku wabongo tumetulia, tunakamata na kuhifadhi, hatufanyi usanii wala hatubebi mabox

Huyu Habebeki kaka.
Dada wa watu kachakachuliwa mpaka hana hamu. Tatizo lake anatanguliza elimu yake kwenye kutafuta mchumba, hata kama ni mchumba msomi atakuona limbukeni na hujatulia. Wewe kwenda marekani na kusoma shule ndo umeona uwazalau ambao hawajaenda shule?, shule ni kwa manufaa yako na siyo kuwalingishia watu. Kwa dunia ya leo elimu yako ya darasani siyo kigezo saana katika kupata kazi, je unaweza kuitetea kwa mwajiri? Masters ndo unalingishia? Watu wana PhD hawasemi, wewe unaona deal. Upo hapo US ni unaweza ukajidhihirishia mwenyewe kuna CEO wengi tu wa makampuni makubwa hawana hata hiyo Masters? Mbona kuna vijana wengi tu huko wanaelimu zao na wana kazi nzuri, inamaana hao utatwambiaje, hawajasoma na wanabeba mabox? Kwa harakax2 nakuona kuwa umesoma ila hujastaarabika ndo maaana unamegwa na kuachwa.Na hata kama ukirudi hapa nyumabni kama ndo gia yako ya shule hiyo utaishiwa kumegwa tu na kuendelea na mfadhaiko wa maisha ya kutafuta wanaume wa kukuowa.


Kwa hiyo Idadi uloitowa ya wanaume uliyowadate japo unaweza ukawa umeipunguza na hapo ni huko US tu je hapa Bongo ulikuwa na wangapi? Chuoni? Kama maumbile ya kike yangekuwa yanaacha alama au yanaishia kama kiatu, ungefikia umri wa 40s soli ya maumbile yako imepinda. Kwakweli wanaume tuna kazi, huyu umuweke ndani bila kujuwa background lasivyo unaweza ukavua pete na kushikwa na BP ukijajuwa.
 
JANELEMA!!!!!!,WEWE NI MCHAGA WA WAPI?:sad::sad::sad::sad::evil:
 

Hata angekua Yesu lazima angemmwaga huyo dada, she is shallow na anaonekana lengo lake ni kuchuma matunda wanayotunza wengine... she is not worth a time

Reason: kashindwa kuweka habari vyema, namuonea huruma na huyo wa bongo, ukiondoa handsome, hakuna la ziada alilosema

eish:nono:
 
Nasikitika kusema huyu dada ni flag bearer wa akina adada wengi sana wanaoondoka nchiki siku hizi wakiteemea greener pasture

wengi kwelikweli
 
Rudi tu home mama, ni jambo zuri sana. Maana ulienda kusoma huko na kutegemea kumpata jamaa wa kulowea naye. ulianza na wenyeji ukashindwana nao, ukaamua kuhamia kwa wabongo japo wenye makaratasi ulowee kwa kupitia kwao nao wakakushtukia wakalala mbele. basi rudi tu home kama malengo ya huko yameshindikana.
 

namuunga mkono huyo dada si Marekani tu kiujumla wanaume wa kitz walionje ya nchi aslimia kubwa ni hovyo,bora ukamate mpopo uhangaike naye kula EGUSI
 

Yaani wewe wabeba mabox wamechakachua weeeeee hadi sasa 5-bila ndio unataka urudishe makapi nyumbani? Tulia hukohuko maana utapata frustration zaidi!
 

Dah hayo maneno yameniacha mbavu sina lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…