wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
Nahusika kwenye bday hapo
Siku hiyo huwa naikumbuka na kumfanyia event my luv wangu
Kwa kweli huwa anafurahi japo huwa sielewi kwanini wadada mnaendekeza sana hii mambo
Anyway,kwa ajili ya furaha yake nitafanya yote
OTIS
Kwani mimi huwa nasahau ya kwako ila tokea ulipomuweka Kimey kuwa lawyer wako ukaharibu kila kitu...ila nahisi kuna wale wanaosahau na kuna wale ambao wanaona haina umuhimu sanaa..wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
Naikumbuka sana wedding anniversary yangu na huwa tunaifanyia suprise ya kiaina na hata birthday yake
Ila AD mambo ya maisha na kipato yanatufanya siku hiyo itupite kama hatuioni aise
Maana siku yenyewe unajikuta mfuko umetoboka utajikalisha ofcn ukirudi amelala unajichekesha na kumpa hongera na kiss kidogo siku inakuwa imekatika
Kesi Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaaa...LOLAD naomba kuchakachua siredi
TF una kesi ya kujibu mahakamani kutokana na shtaka lako so jiandae mapema sana
Mahakama kuu na kesi yenyewe ni ya kudanganya matukio. Ulipaswa uwe somewhere ila ukaenda kwingine na hukuonekana.Kesi Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaaa...LOL
Afrodenzi,jamani kautamaduni na asili pia jamani wakati mwingine tunapitiwa.Sasa kama mnyamwezi mimi wa porini huko Miono Sikonge hata kama nipo Manhattan,bado kaasili kapo,te te te te.Hapana wakati mwingine ni maisha yanasumbua au wakati mwingine kutokujali.Lakini kama ni mpenzi/mume kapitiwa take him to task na muulize why this,inawezekana huko Sikonge kufanya anniversary/Birthday ni luxury huwezi jua
Utanitetea bana...nitakupa ten percent....mimi kwenye birthday ni kiboko huwa nakumbuka miezi miwili kablaMahakama kuu na kesi yenyewe ni ya kudanganya matukio. Ulipaswa uwe somewhere ila ukaenda kwingine na hukuonekana.
Je huwa unakumbuka birthday ya mchumba au mpaka ukumbushwe kwa kengele
AD mambo ya maisha bana
Haya mambo kweli tunakumbuka ila hali ya uchumi. Nikifikiria kakikapu ka maua hakapungui 50 nikifikiria kacake kadogo hakapungui 20 kadi hapo ni kama 5000 bado sijaweka labda kachupa ka wine ambako hakapungui tena 30 duh na ni siku moja tuu mfuko haufiki aise
Tunakumbuka sana ila siku hiyo tunajifanya busy mbaya. Unamkumbuka tuu kwa sms na kumpigia na kupma hongera