Wakala biashara ya mazao ya chakula na biashara ukanda wa nyanda za juu kusini. (Mbeya, Iringa, Songwe, Rukwa)

Karanga Lawfirm

Senior Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
162
Reaction score
171
Kwamtu anaehitaji kujumua mazao kutoka mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe, Rukwa lakini anakwama kutokana na changamoto za kutojua mazingira sahihi ya wapi pakupa mzigo husika. Tunaweza kufanyanaekazi yakukusanya mzigo kutokea mashambani (vijijini) kwa bei nzuri nakisha kuusafirisha mpaka sehemu ya soko.

Mazao yanayolimwa mikoa tajwa kwa wingi ni mpunga mikoa ya Songwe, Mbeya, na Rukwa, Karanga, Mahindi, maharage, alizeti, parachichi, ndizi, viazi vitamu, bianzi mviringo nk.

Kwaambae anawazo lakufanya au anafanya biashara hii ya kununua mazao anaweza kunicheki DM
 
Jambo langu likikamilika nitakucheki mkuu

Vipi gharama za usafiri zikoje from there to Dar?
 
Wazo chanya sana, changamoto ni kwenye umbali na security ya pesa.! Anyway nitakutafuta tuyajenge mkuu

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Msimu wa mazao umekaribia, Kwa mahitaji ya soya beans, kunde, karanga, ufuta, mahindi nk....karibuni sana kyela-kasumulu-boda

Tuwasiliane Kwa 0765891704.
Ukiona namba haipatikani basi jaribu Whatsapp kwasababu sometimes tunaingia Malawi so simu zinakua hazipatikani offline.
 

Ungeweka na bei ya kila zao nafkiri ingesaidia kiongozi...!
 
Ni vizuri ungeweka na taharifa Zako kamili ili iwe rahisi zaidi kukutafuta na kufanya kazi na wewe
 
Mimi ni munuzi mzuri wa mazao kwa soko la ndani kama utakubali terms na policy za hawa www.digxam.co tufanye biashara sina muda wakupoteza kujadili biasha hewa

Ingia hapo jisajili weka biashara yako Kisha ni tag Gemima20 weka picha weka bei nitakulipa with 24 hours
 

Hivi umemuelewa mleta mada vizuri...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…