GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa Tanzania"
"Mayele alipofika aliambiwa kwanza akalete haja kubwa yake tayari kwa Vipimo. Kiukweli alishangaa mno na akisema kote alikokuwa hakuwa kufanyiwa hivyo"
"Alipomaliza kuleta kinyesi chake vikaanza Vipimo vingine kama Mbavu, Mishipa, Ubongo, Utumbo, Macho, Meno, Tumbo, Ini, Figo na Kipimo cha MRI ambapo Shughuli yote hii huchukua Saa Nane (8) kwa kila Mchezaji"
Nukuu zote hizi nimezitoa EFM Radio Kipindi cha Michezo cha Sports Headquarters kilichoko Hewani sasa ambako Dada (Wakala wa Wachezaji) Jasmine Razaq yuko kwa Mahojiano.
Kuna timu mbili kubwa hapa Tanzania (nimezisahau jina kwa sasa) wao wakiwapeleka Wachezaji wao kwa Vipimo kwa mabasi yao kila Timu hutumia masaa mawili tu kwa Wachezaji 30 walionao na wakimaliza hilo zoezi GENTAMYCINE huanza kukutana nao Vijiwe vya Pombe, Starehe na katika korido za Gesti na Loji.
Kudadadeki halafu mnajidanganya na mnadanganywa kuwa Ligi Kuu yenu ni Bora wakati ndiyo Ligi yenye Uhuni, Usanii na ya hovyo hovyo tupu.