Wakala wa majini
Senior Member
- Jan 19, 2020
- 139
- 137
Asante mkuuKaribu Sana
Acha zako mkuu,hilo jina tuVipi jini maimuna unaliuza tsh ngapi?
Ndio hivo hivo mkuu.Mie wakala wa majiniWakala wa Majini....!? Yaani kwamba unamaanisha Majini (viumbe hai) au Majini (baharini, mtoni, ziwani).
Jitambulishe vyema mkuu isije kuwa tunakukaribisha wakala wa akina jini maimuna.
karibu sana, hebu tupia picha ya jini moja nikuelewe vizuri ulivyojisifia, sidhani kama hutakuwanayoHabari zenu wakuu,mie naitwa wakala wa majini,na huu ndio mwanzo wangu kujiunga na jf ijapo kuwa nimekuwa nikifuatilia kwa umakini thread zote za jf,katika forum zote,kama forum ya intelligence,entertainment,international news na nyinginezo.Kipindi hiko nilikuwa non member,ila mshawasha ulionipa shinikizo la kutaka kuchangia katika Mada moto moto za jf,zilipelekea Mimi kujiunga na jf.Mie kidume cha nguvu,ndio niko katika mwanzo mwanzo wa miaka yangu ya ishirini.Pia mimi nimfanya biashara.Wana jf,nawaombeni munikaribishe jamani
Kabisa mkuu,wrote ntawaunga humu,si makata,si maimunaFanya mpango majini nayo yajiuinge humu,tuweze kuchamgamana nao mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
TenaWachezaji wana wakala wao! Mabenk yana wakala wao! Sasa na Majini wana wakala tena wamemleta JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana MkuuKaribu sana JF
Habari zenu wakuu,mie naitwa wakala wa majini,na huu ndio mwanzo wangu kujiunga na jf ijapo kuwa nimekuwa nikifuatilia kwa umakini thread zote za jf,katika forum zote,kama forum ya intelligence,entertainment,international news na nyinginezo.
Kipindi hiko nilikuwa non member,ila mshawasha ulionipa shinikizo la kutaka kuchangia katika Mada moto moto za jf,zilipelekea Mimi kujiunga na jf.Mie kidume cha nguvu,ndio niko katika mwanzo mwanzo wa miaka yangu ya ishirini.Pia mimi nimfanya biashara.Wana jf,nawaombeni munikaribishe jamani