Wakala tigo pesa na m pesa

Wakala tigo pesa na m pesa

vivios

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
244
Reaction score
9
Naitaji kuwa wakala ila naomba kuwajuza wanajamii yeyote anaeuza au anaemfaham anaeuza line za uwakala anijuze plzzz
 
Nenda voda shop iliyokaribu yako!watakupatia lain zilizokamili!
 
Mda huu wanasema wamesimama kutoa kwa sababu wakala wamekua wengi
 
Back
Top Bottom