Wakala wa Baleke: Simu ziite Baleke hataki kurudi TP Mazembe

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
KLABU YOYOTE INAYOMHITAJI BALEKE IJE.

"Klabu yoyote inayomtaka Jean Baleke ikubali kununua kandarasi yake ya mwisho ya miaka miwili (2) kwenda TP Mazembe, sisi tuko wazi kwa changamoto yoyote ile nzuri na sehemu yoyote kama biashara itakuwa ni nzuri."

-FAUSTINO MUKANDILA wakala wa Mchezaji JEAN BALEKE.
Azam mnachelewa wapi

 
sio azam pekee hata pale yanga ana namba yake
 
Kwanini Simba wasimchukuwe na changamoto walizonazo za kujenga timu ?!. Kwanini wengine !!
 
Simgidani..... kuleerr faster karibi Baleke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…