Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,785
Nataka kufahamu zaidi kuhusu uwakala wa bima!Kifupi uwe na fedha kama milion 2.5, uwe umesomea au mtu aliyesome hiyo bima angalau level ya ertifiate, uwe na leseni ya biashara, na kampuni unayotaka kufanyia uwakala kwa msaada zaidi ni pm kama utakuwa na amswali zaidi!!