Wakala wa Cristiano Ronaldo aanza mazungumzo na Bayern Munich

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United.

Hakuna tamko rasmi kutoka pande zote lakini Julai 2022, Mtendaji Mkuu wa Bayern Munich, Oliver Khan alikiri kuwa walifikiria kumsajili Ronaldo lakini haikuwezekana kwa madai hakuwa anaendana na falsafa yao.

Inadaiwa kuwa wanaweza kubadilisha mawazo na kumsajili Ronaldo kutokana na Sadio Mane kupata majeraha.
===

EXCLUSIVE: Cristiano Ronaldo and his agent Jorge Mendes met with Bayern Munich LAST WEEK as he plots his Manchester United escape… with Germans reviving their interest amid concerns over Sadio Mane’s fitness

Cristiano Ronaldo has held talks with Bayern Munich as he plots an escape from Manchester United in the January transfer window.

In an interview with Piers Morgan, Ronaldo claimed that he feels betrayed because United boss Erik ten Hag and club executives are trying to force him out of the club.

But Sportsmail understands that Ronaldo and his agent, Jorge Mendes, met with Bayern last week after officials from the Bundesliga giants flew to England for talks.

Mendes touted Ronaldo to Bayern and a number of other clubs including Chelsea, Sporting Lisbon and Napoli in the summer in a desperate attempt to get his star client out of United, and also spoke to Newcastle last month.

Bayern chief executive Oliver Khan confirmed in July that they had considered a move for Ronaldo, but said that he did not fit into the club’s ‘philosophy’.

The Germans were also reluctant to foot the player’s £500,000-a-week wages after paying Liverpool £35million for Sadio Mane as a replacement for Robert Lewandowski. However, Bayern have revived their interest amid concerns over Mane’s fitness and uncertainty over the future of Eric Maxim Choupo-Moting.

Ronaldo is desperate to play in the Champions League again after seeing rival Lionel Messi close to within 11 goals of his record of 140. Intriguingly, Bayern face Messi and Paris Saint-Germain in the pick of the last 16 ties in February.

Chelsea owner Todd Boehly could also offer Ronaldo a way out of United in January. The American has a close relationship with Mendes and was interested in Ronaldo in the summer, but he was met with resistance from then Chelsea manager Thomas Tuchel.

However, it is understood that Graham Potter is equally unenthused by the prospect of signing the five-time Ballon d’Or winner at this stage of his career.

Source: Daily Mail
 
Hapati timu huyo labda aende marekani,anyways acha aende bayern tuone kama atavuma tena.
 
Shida Kwa klabu za Ulaya ni mshahara na bonus. Ukichukulia zimetoka kupigwa na Covid.
 
Hakuna timu kubwa ulaya itayoshindwa kumlipa ronaldo. Kwanza ataiongezea thamani kibiashara. Shida ni performance ndani ya uwanja ndo wanachoogopa. Ronaldo umri wake umeenda.
 
Kwasasa hakuna timu yenye uwezo wa kulipa paun laki 5 Kwa wiki anazo lipwa CR7 vitabu vyao vitagoma ku balance.
PSG Wana mbape paun milion 1 na laki 6, Wana Mess laki 9 , Neymar laki 6. Man city Wana Haland paun laki 8 klabu zilizo Baki ni makapuku .
 
@ 37 bado kuna mpra pale wa ushindani ama ni biashara za club.
 
Kwasasa hakuna timu yenye uwezo wa kulipa paun laki 5 Kwa wiki anazo lipwa CR7 vitabu vyao vitagoma ku balance.
PSG Wana mbape paun milion 1 na laki 6, Wana Mess laki 9 , Neymar laki 6. Man city Wana Haland paun laki 8 klabu zilizo Baki ni makapuku .
Kwani psg walibalance vipi vitabu vyao kwa kulipa pesa zote hizo?? Timu kama madrid,bayern,chelsea,juventus na hata newcastle hawashindwi kumlipa mchezaji hadhi ya ronaldo pesa zote hizo kwani wanajua fika kuwa wanafaidika kibiashara. Lakini performance ndani ya uwanja ndicho wanachohofia kwa sababu ronaldo umri umeenda na amepungua kasi hivyo kuigharimu timu.
 
Shida Kwa klabu za Ulaya ni mshahara na bonus. Ukichukulia zimetoka kupigwa na Covid.
Ronaldo shida yake kurudi champions league tu kuendelea kuitunza rekodi yake mfungaji bora wa muda wote ambayo inasogelewa na messi hayo masuala ya hela wala sio ishu kwake
 
Alifanya makosa makubwa sana kutoka Juventus kwenda Manchester united.. mara kumi angerudi Real Madrid akamalizie soka lake pale au angeenda huko Manchester city alipotakiwa kwenda... kilanga chake cha kutaka kurudi united akidhani ataonekana mwamba au mzalendo na akijidanganya atairudisha timu kwenye rekodi na hadhi ndo kinachomgharimu jamaa. Mwisho wake anakuwa gumzo anajiingiza kwenye migongano, anapoteza marafiki na misongo ya mawazo inamkabili sasa. Nina uhakika jamaa hayuko sawa kisaikolojia maana heshima yake inapotea kama utani yeye mwenyewe hakutegemea. Saiv hata akihojiwa mtu wake wa karibu au waliyefahamiana au kucheza pamoja wakiongea ukweli anawapunguza na kuwakasirikia..., mfano:- Wayne rooney na Garry neville.. sio hao tu wapo tele kashakata urafiki nao kisa waliongea ukweli au kutoa maoni yao. Mwishowe vitoto vidogo kama kina Bukayo saka vitamchana ukweli ata-mind.

Kingine kikubwa kinazidi kumpa jamaa msongo ni messi kuongelewa vizuri na rekodi yake kuendelea kuwa nzuri kuzidi yake. Na mara paap! Mwaka huu Argentina wakabeba ndoo ya dunia, jamaa anaweza kulia.

Ningepata bahati ya kuonana nae CR7 ningemshauri arudi Madrid akamalize soka lake pale au timu ya David Beckham iliyopo Marekani inayoshiriki ligi kuu ya marekani inaitwa intermiami F.C
 
Rais wa madrid hakumuhitaji

Juventus walimfungulia milango hawamuhutaji

Psg wangemsajili ila nessi akawa ameshaingia tayari

Napoli wanaweza kumsajili kwa ajili ya depth ya kikosi kwenye uefa misimu huu ila mshahara wa laki tano kwa wiki hawawezi kulipa

Bayern wanapenda dead ball or reject players wanaweza kumchukua kwa kupunguza nusu ya mshahara

Bayern wanapenda dead ball or reject players wanaweza kumchukua kwa kupunguza nusu ya m

Rais wa madrid hakumuhitaji

Juventus walimfungulia milango hawamuhutaji

Psg wangemsajili ila nessi akawa ameshaingia tayari

Napoli wanaweza kumsajili kwa ajili ya depth ya kikosi kwenye uefa misimu huu ila mshahara wa laki tano kwa wiki hawawezi kulipa

Bayern wanapenda dead ball or reject players wanaweza kumchukua kwa kupunguza nusu ya mshahara
Swala la pesa sio issue kwa Ronaldo ila Kilanga chake kilimponza.
 
Ronaldo shida yake kurudi champions league tu kuendelea kuitunza rekodi yake mfungaji bora wa muda wote ambayo inasogelewa na messi hayo masuala ya hela wala sio ishu kwake
Angekuwa anampango wa kupunguza mshahara mwez wa 5 asingekosa timu
 
Kwasasa hakuna timu yenye uwezo wa kulipa paun laki 5 Kwa wiki anazo lipwa CR7 vitabu vyao vitagoma ku balance.
PSG Wana mbape paun milion 1 na laki 6, Wana Mess laki 9 , Neymar laki 6. Man city Wana Haland paun laki 8 klabu zilizo Baki ni makapuku .
Navyoona mimi, Ronaldo anataka kucheza soka la ushindani Ulaya ili atimize ndoto yake ya kustaafu akiwa na miaka 40.

Sidhani kama Ronaldo anatafuta hela kwa sasa!

Ila itafika kipindi, Ronaldo atakosa timu hata kwa usajili wa bure. Akubali tu kwamba, imetosha!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom