frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Wakala wa James kotei ameikatalia club ya kaizar chief kumtoa kotei kwa mkopo kwenda yanga
Awali uongozi wa yanga kwa kushilikiana na mdhamini wao GSM walikubaliana na kaizer chiefs kumtoa nyota huyo kwa mkopo Yanga
Wakala wake aliweka ngumu na kuitaka kaizer chief ivunje mkataba kama haimuitaj mchezaji huyo
Lakini yeye mwenyewe amekataa na kusema kwa sas anarud nyumbani kwao Ghana ili kuwa karibu na mke wake ambaye amejifungua hiv karibuni
Pia nyota huyo wa zamani wa simba amesema kama ataamua kurudi Tanzania bas labda aende simba kutokana na mapenz makubwa na club ya simba na heshima kubwa kwa mashabiki wa simba.
Lakini baadae imeripotiwa amejiunga na club ya zesco
Sent using Jamii Forums mobile app