Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Ustadhi mmoja katika mkoa wa Singida amekutwa na vipeperushi zaidi ya 53 akivigawa kwa raia wanaoaminika ni wa kiislam ili kuwahamasisha kutojiandikisha katika zoezi la sensa ya watu na makazi mapaka vitu vifuatavyo vitakapowekwa katika dodoso hilo.
1. Kipengere cha dini
2. Uwiano wa mawakala kati ya wakristo na waislam
Mwe! Nchi ina vituko hii, wadau wenzangu na sisi tugomee sensa hadi kipengele cha WANYWAJI kiwekwe,kwani sisi ndo walipaji wakubwa wa kodi inayosaidia bajeti ya nchi hii!
Ustadhi mmoja katika mkoa wa Singida amekutwa na vipeperushi zaidi ya 53 akivigawa kwa raia wanaoaminika ni wa kiislam ili kuwahamasisha kutojiandikisha katika zoezi la sensa ya watu na makazi mapaka vitu vifuatavyo vitakapowekwa katika dodoso hilo.
1. Kipengere cha dini
2. Uwiano wa mawakala kati ya wakristo na waislam
Source Clauds Fm habari
Trust me, hakuna mtu yeyote kati ya hawa wanaoshabikia hii habari atayekupa jibu la maana.Kwani kipengele husika kikiwepo nini mbaya ?!
Trust me, hakuna mtu yeyote kati ya hawa wanaoshabikia hii habari atayekupa jibu la maana.