Hii mijinga inapigania vitu vidogo sana, Hivi mtu mwenye akili timamu ataweza kuzingatia dini za watu wakati wa kupanga mawakala ili kuwe na uwiano? kigezo hapa ni sifa za watu na siyo dini zao.
Ndiyo maana tulisema hii kazi ingefanywa na walimu.Watu wenye ethics zao.
Inasadikika kuwa sensa ya mwisho kufanyika wakati waukoloni Tanzania ilikuwa na Waislamu asilimia 60, Tukisema kuwa serikaliilikiondoa kipengele hiki kwa sababu maalumu ikiwemo kuwa na nafasi yakuendeleza na kusadikisha takwimu za uongo ili kushamirisha Mfumo Kristo (MK)Tanzania tunakosea?
- Kwa nini kipengele cha sensa kiliondolewa?
Mfano0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangazawakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominantreligions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity,about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
- Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?
Na hapa kuna hoja mbili,
a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zotezinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
Kwa kawaida jambo la uongo lazima hukwama, takwimuzinatofautiana kwa sababu ni za uongo, Zote zinaonesha wakristo ni wengi kwa sababu za kukidhimatakwa ya MK.
Mkurugenzi wa TBC alipoulizwa kuhusu takwimu katoa wapi aliishia kuomba radhi, kakosea,swali ni je kakosea nini? Amekuwa akikosea mambo mangapi ya kitaifa kwa ujumlawake kama lilivyo hili? Huu ndio MK
3.Kwa nini kiwepo kipengele cha kuhesabiwa kwa nyumba zaibada?
Waislamu wakisema kuwa kuhesabiwa kwa nyumba za ibadapekee kunaweza kutumiwa na wapotoshoshaji wa Umma kupitia MK, kuwa Wkristo niwengi kwani siku hizi kuna utitiri wa madhehebu kikristo na makanisa binafsihata kama yana waumini wachache achilia mbali uyoga wa makanisa yanojiita ya wokovu?Kwa nini nyumba za ibada na sio na wanaoabudu humo?, Serikali inataka kugawamisala misikitini na mabench kanisani?
Waislamu wa leo ni tofauti na wa enzi hizo, wanajuawanachokifanya na hili la sensa ni moja na mengine yatakuja,hatuhitajikumtafuta kiongozi wala Sheikn Ponda kwahili, elimu tulishapata , macho yalishafumbuliwa na Tunaelewa athari za mfumoKristo katika jamii
TUMEKATAAKWENDA KWA MATAKWA YA MK, NARUDIA WAISLAMU HATUHESABIWI.
- Tulisadikishwa kuwa waislam hawakusoma, kumbe data zinaonesha NECTA inawapunguza
- Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
- Tukasadikishwa kuwa nchi hii haina dini , kumbe serikali yetu ina mfumo Kristo ambao haukuandikwa popote lakini unafanya kazi zake kwa siri na waziwazi
Ni vizuri ukazingatia. Asifuye Mvua imemnyea. Nakushauri ujitume kusoma ujue nchi yako vizuri kwa kuanzia soma kitabu chenye title: Kanisa katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 hadi 1985 kilichotungwa na Dr. John C. Sivalom M. M., 1992 - Peramiho
Ndio, BUGANDO, KCMC, TEULE na nyinginezo zilijengwa na fedha za MoU iliyosainiwa 1992 (kweli akili ni nywele kila mtu ana zake)
Takwimu na wewe si utoe za kwako, shida ipo wapi. Na wewe nenda Radio imanu morogoro tangaza kuwa waislamu ni 78% ya wanadamu wote duniani.
Hapo kwenye RED ndio kunadhihirisha mwiisho wa KUJUA kwako. Kama ulikuwa hujui karibu seminari zote zilizopo hapa nchini zilijengwa kwa kodi za babu zetu wakati wa ukoloni. Walimu wake waliajiriwa na kulipwa kwa kodi za wananchi wote.
Bado kitambo kidogo ukweli utadhihiri na uongo utajitenga.