Wakala wa kusafirisha mizigo (msaada tafadhali)

Wakala wa kusafirisha mizigo (msaada tafadhali)

meccy

Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Wakuu poleni na majukumu.
Naomba msaada wenu kwa anayefahamu wakala wa kusafirisha vifurushi kutoka Marekani kuja Tanzania anijuze. Pia kama kuna njia yoyote iliyo salama kusafirisha mizigo naomba nijuzwe.
 
Back
Top Bottom