M meccy Member Joined Oct 9, 2013 Posts 23 Reaction score 7 Mar 4, 2014 #1 Wakuu poleni na majukumu. Naomba msaada wenu kwa anayefahamu wakala wa kusafirisha vifurushi kutoka Marekani kuja Tanzania anijuze. Pia kama kuna njia yoyote iliyo salama kusafirisha mizigo naomba nijuzwe.
Wakuu poleni na majukumu. Naomba msaada wenu kwa anayefahamu wakala wa kusafirisha vifurushi kutoka Marekani kuja Tanzania anijuze. Pia kama kuna njia yoyote iliyo salama kusafirisha mizigo naomba nijuzwe.