Talapo Senior Member Joined Nov 22, 2014 Posts 120 Reaction score 41 May 27, 2015 #1 Wadau, Msaada kwenye tuta, nataka kuwa wakala wa vyakula vya kuku hususani vya falcon. msaada wa kupata mawasiliano ya Falcon tafadhali na mwenye kujua njia za kufata kupata uwakala. Nipo Dar.
Wadau, Msaada kwenye tuta, nataka kuwa wakala wa vyakula vya kuku hususani vya falcon. msaada wa kupata mawasiliano ya Falcon tafadhali na mwenye kujua njia za kufata kupata uwakala. Nipo Dar.