G Giannis Antetokounmpo Senior Member Joined Jan 16, 2017 Posts 134 Reaction score 65 Jul 19, 2018 #1 Wadau nlikua nafikiria kua wakala wa moja ya makampuni ya sports betting,, sema sasa makamouni yapo mengi mtu ambae yupo mzoefu na kampuni bora ya kubet ambayo ina incentives nzuri ansaidie kurecomend..
Wadau nlikua nafikiria kua wakala wa moja ya makampuni ya sports betting,, sema sasa makamouni yapo mengi mtu ambae yupo mzoefu na kampuni bora ya kubet ambayo ina incentives nzuri ansaidie kurecomend..
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,552 Reaction score 13,090 Jul 19, 2018 #2 naskia premier wako poa, kwenye mauzo ya 100000 we yako ni elfu 7000, unawarushia 93000 we unabaki na elfu 7000,, kwa hiyo mauzo yakienda laki 5 kwa siku we yako ni elfu 35000, [emoji23]
naskia premier wako poa, kwenye mauzo ya 100000 we yako ni elfu 7000, unawarushia 93000 we unabaki na elfu 7000,, kwa hiyo mauzo yakienda laki 5 kwa siku we yako ni elfu 35000, [emoji23]
bachelor sugu JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 2,689 Reaction score 3,646 Jul 20, 2018 #3 1kush africa said: naskia premier wako poa, kwenye mauzo ya 100000 we yako ni elfu 7000, unawarushia 93000 we unabaki na elfu 7000,, kwa hiyo mauzo yakienda laki 5 kwa siku we yako ni elfu 35000, [emoji23] Click to expand... Siku hz mkuu watu tunabet online hivyo kiukweli soko lao limeporomoka ndo maana hata biashara yao imekuwa slow
1kush africa said: naskia premier wako poa, kwenye mauzo ya 100000 we yako ni elfu 7000, unawarushia 93000 we unabaki na elfu 7000,, kwa hiyo mauzo yakienda laki 5 kwa siku we yako ni elfu 35000, [emoji23] Click to expand... Siku hz mkuu watu tunabet online hivyo kiukweli soko lao limeporomoka ndo maana hata biashara yao imekuwa slow
L laki si pesa. JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 10,003 Reaction score 9,755 Jul 20, 2018 #4 watu wanabeti kwenye simu sana hiyo biashara ni ngumu