Wakala wa Manjis

inama

Senior Member
Joined
Oct 9, 2021
Posts
181
Reaction score
353
Habari wana jf Mimi nimkazi wa Arusha,

Kama kichwa kinavyojieleza Mimi nimuuzaji mdogo wa gesi mpaka sasa Nina mwaka katika biashara hii, kutokana na uhitaji wa kukuza biashara nimepata mtaji wa million mbili nahitaji kua wakala mkuu yaani niwe nasupply kwa hawa wauzaji wa bei ya rejareja,
Kwa wajuzi naombeni muongozo na vigezo vyakua wakala mkuu,ikiwemo mtaji unaohitajika na bei wanayo badilishia mtungi
 
Wakala mkuu kwa 2m?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…