Wakala wa Mbowe ni nani au ndo bestie yake Kigaila?

Wakala wa Mbowe ni nani au ndo bestie yake Kigaila?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kufikia sasa tumeshajua kuwa Lisu amemchagua Godbless Lema kuwa wakala wa kusimamia kura zake kwenye Uchaguzi.

Mbowe atamchagua nani awe wakala wake?

Au ndo Kigaila bestie yake?

Kuhusu uchaguzi, soma LIVE - Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?



Wakala mbowe.png
 
Wajumbe wote ni mawakala wa Mbowe watazilinda kura za mwenyekiti kwa wivu mkubwa 🐼
 
Back
Top Bottom