Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Jan 21, 2025 #1 Wakuu, Kufikia sasa tumeshajua kuwa Lisu amemchagua Godbless Lema kuwa wakala wa kusimamia kura zake kwenye Uchaguzi. Mbowe atamchagua nani awe wakala wake? Au ndo Kigaila bestie yake? Kuhusu uchaguzi, soma LIVE - Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Wakuu, Kufikia sasa tumeshajua kuwa Lisu amemchagua Godbless Lema kuwa wakala wa kusimamia kura zake kwenye Uchaguzi. Mbowe atamchagua nani awe wakala wake? Au ndo Kigaila bestie yake? Kuhusu uchaguzi, soma LIVE - Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 Jan 21, 2025 #2 Kigaila atakuwa kwenye swichi.
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Jan 21, 2025 #3 Wajumbe wote ni mawakala wa Mbowe watazilinda kura za mwenyekiti kwa wivu mkubwa 🐼