Wakala wa Mpanzu acha kutumika, Kibu Dennis Simba imekulea acha hayo mambo

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili.

Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa bonus uchwara, wanaokwenda wao hawana akili au tulikosea kukudhamini uraia? Hebu ukue basi.
 
Acha kujiamini hivyo na timu lako lililojaa veterans na ushindi wa gsm family....yani mnavyojishaua ni kama mko club bingwa robo fainali yanii...kumbe mlifurushwaa
🤣 🤣 🤣 🤣
Sio mbali, ni jmos, weka akiba ya maneno, usimalize yote !!!!!!!! Utakuja kulia lia hapa GSM anaharibu ligi,,,, ! Na nyie simba mtakuwa mmehongwa pia na huyo GSM ?
 
Kwamba tufungie mchezaji ndani miezi 6 kama hawara halafu ushindwe kumlipa stahiki zake zote? Labda mambo tu kupandisha joto la derby
Kulipwa amelipwa 75% makubaliano ni kwamba 25% itamaliziwa kabla ya mwisho wa msimu.
 
Mawakala kama hawa ndio wa kuachana nao wakati timu ina tension na wao wao wanaongeza mzigo mwengine. Haya pambaneni nao hao
 
Mawakala kama hawa ndio wa kuachana nao wakati timu ina tension na wao wao wanaongeza mzigo mwengine. Haya pambaneni nao hao
Kwani hapo shida ni wakala au malipo ya mchezaji?

"Kweli ukitaka kuwa mbaya dai chako"
 

Nyundo mbili za Ally Kamwe zimeshaanza kuwachanganya Utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…