f_m
Member
- Sep 19, 2017
- 58
- 35
Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app itakayowezesha mawasiliano kwa watumishi wa umma mahali popote na muda wowote.
Swali:
Je, mmejipngaje kuwezesha vikao serikalini kwa njia ya mtandao baada ya katazo la mkusanyiko kutokana na COVID19?
Serikali ya JPM inawategemea Kufanya kitu
Swali:
Je, mmejipngaje kuwezesha vikao serikalini kwa njia ya mtandao baada ya katazo la mkusanyiko kutokana na COVID19?
Serikali ya JPM inawategemea Kufanya kitu