Shilala Member Joined Apr 28, 2019 Posts 9 Reaction score 16 Mar 15, 2020 #1 Natafuta Kampuni au taasisi inayozalisha o kusambaza pembejeo mbalimbali za kilimo ili niwe wakala wao wa bidhaa zao kwa mkoa wa Mbeya. Nina uzoefu wa kutosha wa kuendesha biashara huyo na nina maduka mawili makubwa. Tuwasiliane pm. Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta Kampuni au taasisi inayozalisha o kusambaza pembejeo mbalimbali za kilimo ili niwe wakala wao wa bidhaa zao kwa mkoa wa Mbeya. Nina uzoefu wa kutosha wa kuendesha biashara huyo na nina maduka mawili makubwa. Tuwasiliane pm. Sent using Jamii Forums mobile app