Kiongozi Upo Wapi
Nadhani Iwapo Upo Dar es salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza
Wana Ofisi Zao Jaribu Kuwatembelea, Juzi Kulikuwa Na Seminar Elekezi Nikapata Habari Kuwa Toyota Tanzania Wanatoa Mafunzo Ya Madereva Na Kutoa Vyeti
Wanajamvi habari ya jioni kwenu!?
Samahani wanajamvi, binafsi nina garage kubwa tu na tunadeal na kutengeneza magari aina zote sasa nahitaji kujisajili na Toyota katika garage yangu ni vigezo vipi natakaiwa kuwa navyo au nini nifanye.
Naomba msaada kwa hili?
Nawasilisha...
Mkuu inawezekana ukajisajili nao fatilia taratibu kwenye ofisi zao.
Kwa Mbeya kipindi cha nyuma pale Uyole kwenye gereji ya Mwanji, mjini maeneo karibu na Stanbic kulikuwa na wakala na Mbalizi kwa Rena ndio mawakala.
Mbeya gereji nyingi bado zipo kawaida wewe ukiiweka kisasa utapiga sana pesa maana washindani wako hapo wengi hawana vifaa vya kisasa.
Ukifanya kazi kwa uaminifu na bei za watu wengi kumudu utaletewa gari kutoka Tunduma mpaka Zambia.
hii ni magumashi mkuu, una undugu wowote na GuDume?Unatakiwa uwe muhindi..vyengine ziada tu
Kwani Toyota ni ya Wahindi...??Unatakiwa uwe muhindi..vyengine ziada tu
MbeyaWanajamvi habari ya jioni kwenu!?
Samahani wanajamvi, binafsi nina garage kubwa tu na tunadeal na kutengeneza magari aina zote sasa nahitaji kujisajili na Toyota katika garage yangu ni vigezo vipi natakaiwa kuwa navyo au nini nifanye.
Naomba msaada kwa hili?
Nawasilisha...