Wakala wa Vipimo:Wataofunga bidhaa kwa mtindo wa 'lumbesa' jela miaka 3

Wakala wa Vipimo:Wataofunga bidhaa kwa mtindo wa 'lumbesa' jela miaka 3

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
lUMBESA.jpg

Wakala wa Vipimo nchini (WMA) imewaonya wafanyabiashara nchini watakao fungasha bidhaa zao kwa mtindo wa Lumbesa watakumbana na adhabu kali ya kifungo cha miaka mitatu hadi saba jela pamoja na kulipa faini.
Wafanyabiashara hao pia wametakiwa kutumia mizani katika kupima bidhaa zao wanazouza na sio kutumia vipimo vya kukadiria kwani vinawapunja wakulima na hivyo serikali kukosa mapato.

Chanzo: Mwananchi
 
HIVI KUNASHERIA ILIYOTUNGWA NA BUNGE KUKATAZA LUMBESA?
 
Back
Top Bottom