Tema mate chini (kwenye udongo) na uangalie process ya kukauka kwake yanakuwa na mambo mengi kiasi ila yatakauka.Mm ningemiliki robo tu ya mali zake ma-slay queen wote wangenikoma [emoji16][emoji16][emoji16]
Jorge Mendez ndo agent pekee namba moja Kwa miaka kumi sasaDuh!
Kufa kufaana, nadhani wachezaji wengi watajisogeza kwa super agent Jorge Mendes
Ndio napofanyia kazi cku ukija nicheki ntaku accommodate!Kwamba ulikutana na Mino Raiola Dubai et?
Jorge Mendez ndo agent pekee namba moja Kwa miaka kumi sasa
Jorge mendes hajawahi kupata mpinzani labda kama umeanza kumsikia juzi , raiola alikuwa anafata nyayo za umafia wa mendesMKuu Raiola ni habari nyengine kabisa
Jorge mendes hajawahi kupata mpinzani labda kama umeanza kumsikia juzi , raiola alikuwa anafata nyayo za umafia wa mendes
Narudia tena Jorge mendes ndo super agent , raiola ameiga Kwa Jorge mendes kaulize popote paleacha masihara mkuu, Unamjua vizuri Raiola? Raiola kaanza kupiga hayo mapema zaidi kuliko mendez. Raiola ndie aliemuuza Denis Bergkamp kwa Inter Milan 1993. Alianza madili toka 1990 wakati huo Mendes akiuza nyama choma mitaani LIsbon
Narudia tena Jorge mendes ndo super agent , raiola ameiga Kwa Jorge mendes kaulize popote pale
Umafia wa Jorge mendes inawezekana umeuelewa juzi baada ya raiola kuwadaka pogba na halaand , nimeamua nikupe overall badala ya kwenda source moja baada ya nyingine ,Nikaulize wapi mkuu? mwaga madini tukuamini unachokisema. Raiola amefanya mengi sana. Mendez hana cha ziada zaidi ya kuwadalalia wachezaji wa kireno pamoja na wachezaji wanaotoka Porto na Benfica. Raiola alikuawa ni super power
Umafia wa Jorge mendes inawezekana umeuelewa juzi baada ya raiola kuwadaka pogba na halaand , nimeamua nikupe overall badala ya kwenda source moja baada ya nyingine ,
View attachment 2207530
View attachment 2207531
View attachment 2207532
View attachment 2207533
View attachment 2207534
View attachment 2207535
View attachment 2207536
View attachment 2207537
Jorge Mendes msikie tu alaf kaa kimya ,
Nipe source inayodhihirisha Mino raiola ndo number one most fluentila football agent alaf tufunge mjadala tusubiri ID KeshoPost yako imedhihirisha nilichokizungumza, Ni dalali wa kuwadalalia wachezaji wanaotoka Fc Port na Benfica.
Nipe source inayodhihirisha Mino raiola ndo number one most fluentila football agent alaf tufunge mjadala tusubiri ID Kesho
Daah mkuu wengine watasaidiaMkuu sasa google nayo ni source ya uhakika kwa maelezo? kama ni hivo nawewe pia Rejea link niliyoieka ambayo inamtaja Raiola kama ni King of Super Agents
Viburi vya hao jamaa uliowataja, havijatokana na Mino. Hao ni viburi by nature. Mkhitaryan, Haland, De Lijt list ni ndefu ya wachezaji wake ambao sio viburiUkichunguza kwa undani utagundua jamaa alikuwa anauwezo wa kumfanya mchezaji awe kiburi au laah. Mfano
Paulo Pgba
Baloteli
Zlatan
Inaonekana jamaa alikuwa na nguvu sana kwenye soka
Mkuu...R I p
Daaah R .I.PR I p