Wakali cha Chemsha Bongo tuna kikao hapa

Wakali cha Chemsha Bongo tuna kikao hapa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Angalia picha hii kwa umakini kisha taja upande gari hili linapoelekea na kwanini?

1724937548128.png
 
Basi katika picha hii linaelekea upande wa "kushoto". Hii ni kwa sababu mlango wa kuingilia na kushuka abiria hauonekani kwenye upande wa kulia wa basi, kwa hiyo mlango uko upande mwingine ambao ni kushoto. Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki kama Tanzania, magari yanaendeshwa upande wa kushoto, hivyo mlango wa basi kawaida unakuwa upande wa kulia wa basi, kwa hiyo kwa picha hii, basi linaelekea upande wa kushoto.
 
asante kwa kuchemsha ubongo


kazi kweli kweli/jobtruetrue
 
Back
Top Bottom