WAKALI JOGGING
Member
- Aug 30, 2015
- 5
- 3
Kwa heshima na taadhima, uongozi wa WAKALI JOGGING wakishirikiana na UBALOZI WA AFRIKA KUSIN nchini TANZANIA tunayofuraha kuwaalika katika bonanza letu la kimichezo la Mbio za Pole (Jogging).
Maazimio ya bonanza hili ni kuadhimisha siku ya MZEE NELSON MANDELA 2015 litakalofanyika trh 27/09/2015 kuanzia Uwanja wa Taifa geti kuu saa 12 kamil na kumalizia Uwanja wa Sifa katika shule ya Mtoni Sabasaba.
Kauli mbiu ya bonanza ikiwa ni UMOJA NA MSHIKAMANO. Tunatanguliza shukran zetu za dhati kwa ushirikiano wenu na matumaini yetu tutaungana pamoja.