Wakali wa draught nipeni maujuzi natoka na copy gani hapa nimekwama?

Wakali wa draught nipeni maujuzi natoka na copy gani hapa nimekwama?

manchoso

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
1,605
Reaction score
2,055
Nnalo kwenye sim hili game nashukuru nimevuka hatua kama 4 ila nimekwama hapa kila nikitia mkono nagongwa

kama nguruwe nwaza sijui ningekuwa na watoto wangap😅😅
Msaada wenu tafadhali

Screenshot_20210529-174620_Checkers.jpg
 
Back
Top Bottom