Wakali wa Hisabati Part II

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Miaka kumi iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake wakati huo.
Miaka mitano ijayo umri wa Salumu utakuwa 1/2 ya umri wa baba yake wakati huo. Tafuta umri wa Salumu wa sasa.
Karibuni wadau.
 
1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo
 
Baba atakuwa kashafariki sidhani kama salumu atafikisha umri nusu wa Baba yake
 
Umri wa sasa wa Salumu ni miaka 15.
 
Kwanza baba yake Salimu anaitwa nani na anakaa wapi nikamuulize,tusisumbue watu wengine.
 
s-10=b/5........(1)
s+5=b/2.........(2)
(2)-(1): 15=3b/10
b=50, s=20
 
Salumu atakuwa kijana sana na babake atakuwa mzee
 
1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo

source ya swali ni (Msemwa, P.B. Mitihani 12 ya Hisabati kwa darasa la 5, 6 na 7, Taaluma Publishers, mtihani wa 7, swali la 48, uk 21.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…