SLNMiaka kumi iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake wakati huo.
Miaka mitano ijayo umri wa Salumu utakuwa 1/2 ya umri wa baba yake wakati huo. Tafuta umri wa Salumu wa sasa.
Karibuni wadau.
sitaki
Kwanza baba yake Salimu anaitwa nani na anakaa wapi nikamuulize,tusisumbue watu wengine.
source ya swali ni (Msemwa, P.B. Mitihani 12 ya Hisabati kwa darasa la 5, 6 na 7, Taaluma Publishers, mtihani wa 7, swali la 48, uk 21.
1/5 na 1/2 ndiyo umri gani hakuna hesabu ya hivi.. na kama kuna jibu ni la uongo
swali halijakamilika bob
miss chagga kuufo endaa!?
Ndo maana ulikimbia shule, vinginevyo m*t*ko yangeoza
Chukulia umri wa Salum wa sasa kama S
Chukulia umri wa Baba wa sasa kama B.
Miaka 10 iliyopita umri wa Salum ulikuwa S-10 na wa baba yake ulikuwa B-10.
Miaka 10 iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake,hii ni sawa na kusema S-10=(B-10)/5 ..............(i)
Miaka 5 ijayo umri wa Salum utakuwa S+5 na umri wa baba yake utakuwa B+5
Miaka mitano ijayo umri wa Salum utakuwa 1/2 ya baba yake,hii ni sawa na kusema S+5=(B+5)/2 ...............(ii)
Sasa kokotoa milinganyo (i) na (ii)
5x(i) ni 5(S-10)=5S-50=B-10 .......(iii)
2x(ii) ni 2(S+5)=2S+10=B+5 ........(iv)
(iii)-(iv) ni
3S-60=-15
3S=-15+60
3S=45
S=15
Umri wa Salum wa sasa ni miaka 15.
SLN
Let the age of salum be x and that of father be y
Given:
x-10=y/5 .............(i)
x+5=y/2 ..............(ii)
Solving the two eqn simultaneously
from eqn i
x=y/5+10 (substitute this eqn into eqn ii)
y/5+10+5=y/2
y/5+15=y/2
then
y/2-y/5=15
3y/10=15
y=150/3
y=50
now from x=y/5+10
x=50/5+10
x=20
Therefore currently salum is 20 years and his father is 50 years