Wakali wa Hisabati Part II

Miaka kumi iliyopita umri wa Salum ulikuwa 1/5 ya umri wa baba yake wakati huo.
Miaka mitano ijayo umri wa Salumu utakuwa 1/2 ya umri wa baba yake wakati huo. Tafuta umri wa Salumu wa sasa.
Karibuni wadau.
salum ana miaka 15 sasa na baba miaka 35.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…