Wakali wa kufade in na out wenye vibanda vyetu kichwani hii ni mikato ya kwenda nayo mjini.

Wakali wa kufade in na out wenye vibanda vyetu kichwani hii ni mikato ya kwenda nayo mjini.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Pesa na muonekano ni vitu viwili vinavyokwenda pamoja(perfect combination) kwa hiyo wale wakali wa hizi kazi tupeane tips na trending style ili tuweze kutunza vibanda vyetu vya kichwani.

Vitu vya kuzingatia kabla ya kuamua ni style gani itakufaa.

1. Muundo wa kichwa na muonekano wa sura yako.

2. Shughuli unazofanya na watu unaokutana nao mara kwa mara.

3. Style za mavazi unazopendelea kuvaa

4. Usafi.


Picha kwa hisani ya search engine
images%20(5).jpg
View attachment 1975216
 
Back
Top Bottom