Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hapa kuna vichwa konki sana sijawahi kuona yaani ukikosa mpigo mmoja tu umefungwa. Mipigo 8 mtu anapeleka mipira yote 8.
Ila uwe vizuri mfukoni watu wanacheza kamari na hawana njaa mtu anapigwa 400k na anatulia akiwa happy kabisa
Ila uwe vizuri mfukoni watu wanacheza kamari na hawana njaa mtu anapigwa 400k na anatulia akiwa happy kabisa