Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Oct 11, 2023 #1 Hapa kuna vichwa konki sana sijawahi kuona yaani ukikosa mpigo mmoja tu umefungwa. Mipigo 8 mtu anapeleka mipira yote 8. Ila uwe vizuri mfukoni watu wanacheza kamari na hawana njaa mtu anapigwa 400k na anatulia akiwa happy kabisa
Hapa kuna vichwa konki sana sijawahi kuona yaani ukikosa mpigo mmoja tu umefungwa. Mipigo 8 mtu anapeleka mipira yote 8. Ila uwe vizuri mfukoni watu wanacheza kamari na hawana njaa mtu anapigwa 400k na anatulia akiwa happy kabisa
herio JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,245 Reaction score 4,320 Oct 11, 2023 #2 Mkuu ligi zimesimama hamna namna itabidi tukacheze pool table tu
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Oct 11, 2023 Thread starter #3 herio said: Mkuu ligi zimesimama hamna namna itabidi tukacheze pool table tu Click to expand... Karibu sana mkuu. Ukifika nitafute nitakua mwenyeji wako. Muongozo wote kuhusu watoto, lodge za bajeti yako n.k nitakupa. Mimi binafsi nakunywa serengeti lager tu
herio said: Mkuu ligi zimesimama hamna namna itabidi tukacheze pool table tu Click to expand... Karibu sana mkuu. Ukifika nitafute nitakua mwenyeji wako. Muongozo wote kuhusu watoto, lodge za bajeti yako n.k nitakupa. Mimi binafsi nakunywa serengeti lager tu