Wakali wa tetesi za usajili bongo hamjambo?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Hadhira mshatuaminisha kuwa Edoh David Utop anaibiwa Simba Sc na kwenda Yanga Sc

Mshatuaminisha Chama anakuja Simba Sc

Mmetuambia Moses Phiri anakuja Simba Sc

Sawa

Nawajuza Hao akina Shafii Dauda, Jemedari na Watabiri Wenzao kwamba bado SIKU 4 TU USAJILI WA DIRISHA DOGO KUFUNGWA

Na Uongozi wa Ligi umesema HAKUNA KUONGEZA MUDA WA USAJILI

Tunasubiri waje na uhamisho na Utambulisho

Tunakumbushana tu maana mshakula Bundles zetu za kutosha

Eboh[emoji51]
Mtalipa bando letu nawaambiwa nyie Agenda settings wa kikariakoo mnaunajisi mpira kwa ushawishi wenu na kutojali hisia za hadhira kwa expenses za umaarufu bila kujali kesho ya Soka .

Hamjali ku promote vilabu vya Tz ,Soka la Tz, Uzao wa soka la Tz kupitia wazawa hamjali hata biashara bora ya Soka la taifa kisa trendings za habari zisizodumu masaa 24 .

Moses Phiri
Clatous Chama
Udoh Etop

wasiposajiliwa Nitahakikisha Jamii inajua hii nchi Haiamini ina watu wa Habari za Usajili na tetesi za Uhakika bali porojo na Agenda settings na kuitumia faida ya Social network vibaya kwa maslahi binafsi na sio ya weledi wala vilabu wala wachezaji husika

Ifikie Mahala Jamii ile Chakula bora cha Habari kwa ubunifu wenye manufaa

HADHIRA TUNASUBIRI SIKU 4 WAJE CHAMA , PHIRI , MSUVA NA UDOH WASAJILIWE NDIO TUTAWAELEWA

La Sivyo tutaanza kuamini Platforms rasmi za Taasisi na Vilabu maana Porojo sio za watu wenye Akili timamu hata uwe na Ushawishi kiasi gani.

Hatuwezi kupelekeshwa na Bando zetu

Ulaya kuna Madaraja ma 4 ya tetesi
Kuna waandishi wa tetesi wa daraja la kwanza na sio Followers wao ndio kigezo bali legitimacy ya habari zao akina Bellegue na Romano. Kuna 2nd tier akina Di mazio

Kuna 3rd tier na forth tier

Kuaminika na usahihi wao ndio daraja lilipoundwa

Huku mnaaminishwa na porojo za uongo na mnakubali hii si sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliza mtori nyama zipo danta. Siku nne ni masaa 96. Mambo mengi sana yanaweza kufanyika ndani ya masaa 96.
 
Si patakucha?,usiwe na hofu pakishapambazuka basi itafahamika tu!
 
Tetesi ni vitu vya kawaida kunogesha story na mpira bila ya tetesi hauendi.
 
Chama Simba dirisha hili

Phiri Yanga dirisha lijalo

Udoh Simba au atarudi zake alipotoka hizo habari za Yanga kutaka kumsajili ni mbinu za agent akishirikiana na wachambuzi mchongo kutaka kumpanulia soko.
 
Chama Simba dirisha hili

Phiri Yanga dirisha lijalo

Udoh Simba au atarudi zake alipotoka hizo habari za Yanga kutaka kumsajili ni mbinu za agent akishirikiana na wachambuzi mchongo kutaka kumpanulia soko.
Wewe nimekielewa vizuri kuhusu Udoh. Kumbe mawakala huwa wanakula Mchongo na kina Shafii Dauda na kuzusha tetesi za kufikirika ili mchezaji wake apate soko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…