Wakali watatu JF

Wakali watatu JF

Jk12

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2019
Posts
702
Reaction score
1,134
1.RUTASHUBANYUMA

2.NUMBISA

3.MSHANAR JR
Screenshot_20200524-124124.png
 
Mshana Jr ni G.O.A.T hapa JF hili halina ubishi. Ila kuna wengine ambao binafsi nawakubali sana hapa jukwaani.
Kuna ndugu yangu Chige na mwingine ndugu yangu Kiranga , hawa wakiandika lazima nitulie niwasome. Mkuu zitto junior popote ulipo wewe uko kwenye Top 3 yangu!
 
Mbona huyu Rutashubanyuma sijawahi kuiona comment yake humu majukwaani halaf yey ndo et yupo juu
Ana uzi wake ambao kwa wastani kila baada ya nusu saa anacomment mwenyewe,hivyo kwa siku anacomment mara 48 ambapo ni wastani wa comments 1440 kwa mwezi na comment zisizopungua 17280 kwa mwaka katika uzi mmoja ambao huwa anatupia chochote kile ili mradi awe ana update uzi wake hata kama anachotupia hakihusiana na kichwa cha habari cha uzi wake.
Hivyo usishangae kiongozi kumuona at the top of the list.
 
Ana uzi wake ingia political palace utaukuta...,Unatembea kwa kasi ya sgr
Duh, nmeuona huo uzi.

Mshana Jr ni the best coz JF yupo.. Huy Rutashubanyuma yupo sehemu moja tu (kwenye huo uzi wake) kona zingine hazijui.

So Mshana is the best.

#MapachaDaima
 
Back
Top Bottom