Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kutoka Uganda Polisi nchini humo wanamshikilia Mwanaume (23) na Mpenzi wake (35) kwa kosa la kuingia nyumba ya Jirani wakiwa wanatoka Baa usiku kisha kufanya mapenzi kwenye kitanda cha Jirani huyo Margaret Awino ambaye aliwakuta wakiwa watupu.
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Apac, Rogers Kafere amethibitisha kushikiliwa kwa Wapenzi hao ambapo amesema kwa mujibu wa sheria za Uganda kama Mtu akiingia na Mpenzi wake kwenye nyumba isiyo yake bila rukhsa ya Mwenye nyumba hiyo ni kosa kisheria na atahukumiwa kwenda jela, limeripoti gazeti la Daily Monitor.