Wakamatwa wakijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kama wanawake wa kiarabu

Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madaya ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano kwa wanawake wa kiarabu.

View attachment 3419869
Pasport zao zikiscaniwa zinaleta sura hizo hizo za Kike?

Waarabu ni wajinga sana.

Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…