kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia wakandarasi wa mabarabara sehemu mbalimbali, nikagundua kuwa wengi wao baada ya kumaliza shughuli za ujenzi wa barabara walizopewa, vifaa vungi kama makatapira, magari na vitu vingine huvitelekeza site na kubaki vinaoza tu, labda waja JF, mwenye kujua hili ni kwa sababu gani naomba anijuze.