wakat mmewe akiwa lupango,jack patrick aweka picha chafu kwenye mtandao

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

MLIMBWENDE mtata Bongo, Jacqueline Patrick, kama kawa, amedondosha picha nyingine chafu kwenye ‘peji’ yake ya mtandao wa BBM, Risasi Jumamosi lina ‘fulu’ data.
Jack ambaye ni mke wa mfanyabiashara Abdulatif Fundikira alitupia picha hizo Julai 25, mwaka huu huku akizisindikizia na ujumbe usemao ‘sina tatizo na mtu na mwenye macho haambiwi tazama.’
Picha hizo zimezua maswali mengi kwa watu wake wa karibu ambao wengi ni waumini wa dini ya kisilam ambao kwa mwezi huu wapo ndani ya swaumu.

Wengi walihoji nini kilimfanya staa huyo kuweka picha hizo chafu sana zenye kumwonesha kila kitu huku akiwa ameolewa kwa ndoa! “Au yuko sokoni zaidi?” alihoji mdau wake mmoja.
Jack bila kujali hilo aliendelea kuanika picha hizo kwa kubadilisha moja baada ya nyingine kulingana na mapozi aliyotaka mwenyewe.
Mara kwa mara Jack amekuwa akipiga picha zenye kuonesha asilimia 95 ya umbile lake bila nguo na kuzitupia kwenye mitandao.
 
Aunt anatoa stress...halafu kuna watu wanawavulia kofia, sasa hii kaweka kwenye BBM yahusu nini mtu ucopy iwe public issue.
 
jacqueline patrick Cliff kama kweli umeshikwa pole sana,vumilia tu
 
Kahaba kazini, lazima anase mabwege!!! Anadhalirisha jinsia!!
 
hizi sio chafu. picha za kuonyesha mwili wake lakini sio picha za uchi. wanawake padua kichwa. jenga picha angekua mkeo.
 
Anajitangaza biashara matangazo kwenye bango bado ajanivutia towa mikono kifuwani tuone kama bado yamesimama chuchuchu
 
Nauliza, huyu ndo yule aliyekamatwa na poda China?
 
Kule(china) nasikia wananyonga au wadau watajitoa ufahamu kama ilivyokuwa SA.
 
Ni kama tangazo la air tell hakatwi mtu hapa.
 
Kule(china) nasikia wananyonga au wadau watajitoa ufahamu kama ilivyokuwa SA.

Wanaonyonga ni china bara lakin hongkong. Macau hawanyongi pia nahis na shanghai wanaweza kuwa hawanyongi sababu walijitenga na china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…