Wakata KUCHA wake za WATU za miguuni

Naona hao wote kheri kuliko fundi nguo mara apime sehemu ya matiti mara makalio yaani taabu tupu.Ni mwendo wa kununua special tuu dukani kama ndo ivyo.
Though hatuwezi wakwepa madokta wazalishaji

Asante sana sisi tutaendela kuwasaidia kuwakatia kucha na kuwapima nguo! Mzenj usisome hapa
 
Asante sana sisi tutaendela kuwasaidia kuwakatia kucha na kuwapima nguo! Mzenj usisome hapa
heri ya mwaka mpya masanilo!!!

na yale ma mutukaa yaloandikwa Invisible nayasubiri!!!
 
Asee ni bora ya hao wanaokata kucha wadada/wamama.............je hao wadada wanaofanyia scrub na massage wanaume?huko ndo kuna mitego zaidi yani wadada wale ndo wanafanya biashara kabisa ........
 
si mbaya maana vijana wanatafuta ajira cha muhimu ni wako kina dada mama kuwa waangalifu tu
 

hii tena imezidi sana...sasa mtu anatengeza kucha za mwingine, mguu juu ya bega unafanya nini, wana lao jambo hao...

tupunguze uvivu, vitu vingine tujifanyiage wenyewe....
 
Hakuna tabia nyingine walioko nayo tena zaidi ya hio????
..Wanawatekenya kwenye nyao zao pale wanapowasugua kucha na kupaka rangi. Niliwahi kushuhudia dogo mmoja pale mwenge anakandamizwa mangumi na jamaa mwenye demu wake alipoona dogo anakanda miguu ya mamaa mpaka mdada anasinzia jamaa alichomoka kwenye gari ilikuwa tabu kidogo, nahisi alimpiga marufuku kwenda pale tena!
 
yote maisha, na wazaire wano-waosha nywele na kuzishikashika wkati wanazikausha, na kucheza nazo wakati wanazisuka...............utajuaje kama anazichezea au ndo mikogo ya kusuka???

mi hata sukari hainishuki!!
 


Hii thread ina ukweli sana. Nimewahi kusikia sketi inaweza kufunuliwa mpaka katikati ya mapaja endapo hautamzuia Mzairwaa stoooop! Hapo wanatoa masaji ya mguu. Hivi mwisho wa mguu ni wapi lakini, gotini au karibu na kiuno? Manake wanaoshwa miguu ati hawa yakhe!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…