St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Mambo magumu sana haya Mkuu,
Angalia Kikwete hadi kakonda. SURUALI inaanguka na inabidi aipandishe kuokoa Mtepesho.
hii nayo ni ile ya Barrick?
Singida mkoa masikini kuliko yote tz halafu mbunge wao anawakejeli kwa helicopter! What a shame!